Karibu


Tuesday, January 3, 2012

The Standard Group wawasha moto ndani ya UDOM

Haijawahi kutokea ndani ya UDOM wala mji wa Dodoma tamasha kubwa kama hili lililofana kwa aina ya kipekee na Roho wa Bwana kutamalaki ndani ya Cafeteria kubwa wa Chuo Kikuu Cha Dodoma. Ilikuwa ni usiku wa kipee ulio ambatana na kurekodi Video na Audio live ya Albam ya HAKUNA KIFICHO ya Godsave Sakafu.

Pata uhondo kwenye picha hizi hapa chini.....


Wakati maandalizi bado yanaendelea, watu tayari walikuwa wameshajaa.....
Ambwene Mwasongwe nae alikuwepo, hapa wakibadilishana mawazo na Godsave


Tamasha likaanza..


Mheshimiwa akizindua alabam ya Hakuna Kificho rasmi

Burudani ikaendelea, watu wakiselebuka Kwaito ilokuwa ikipigwa livee..........


Kushoto, kulia, kushotoo, tgeukeee...
Wengine walikosa nafasi ndani ya ukumbi wakabaki nje
wengine walikuwa wakiangalia kutoka nje kwani ndani kulikuwa full